Warsha ya taaluma ya teknolojia ya habari na mawasiliano.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi 
na Mawasiliano  Mhe. Edwin Ngonyani (Mb) akizungumza na wataalamu wa 
Teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) hawapo pichani wakati 
akifungua warsha ya   wataalamu wa teknolojia ya habari na Mawasiliano 
katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.  
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, 
Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin 
Kamuzora akizungumza wakati akimkaribisha Mgeni rasmi Naibu Waziri wa 
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Mhe. Edwin Ngonyani (Mb) ili kufungua 
warsha ya  wataalumu wa teknolojia ya habari na Mawasiliano.  
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya 
TEHAMA Mhandisi Samson Mwela akitoa mada   wakati wa warsha  ya 
wataalamu wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano katika ukumbi wa 
kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.   
Baadhi ya washiriki wa warsha ya 
wataalumu wa teknolojia ya habari na mawasiliano wakifuatilia hotuba ya 
mgeni rasmi Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano  Mhe. Edwin 
Ngonyani (hayupo pichani) akifungua warsha jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi 
na Mawasiliano  Mhe. Edwin Ngonyani (wa tatu kutoka kulia) akiwa katika 
picha ya pamoja na wadau wa sekta ya mawasiliano   na wataalamu wa 
teknolojia ya habari na Mawasiliano  Jijini DSM.
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni