MAJALIWA AKUTANA NA RAIS WA TEC
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu 
Tercius Ngalalekumtwa kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar 
es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   
akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Renatus Nkwande 
(katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu 
Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo yao , Ofisini kwake jijini Dar 
es alam Agosti 18, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu 
Tercius Ngalekumtwa  (kushoto kwake), Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo 
Katoliki la Bunda (wapili kulia)  na katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu 
Tanzania (TEC), Padri Raymond Saba (kulia), Ofisini kwake jijini Dar es 
salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni