MAJALIWA AKUTANA NA UHURU KENYATTA NAIROBI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta katika Mkutano wa TICAD 6
kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Kenyatta (KICC) jijini
Nairobi Agosti 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
akizungumza jambo wakati akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
katika Mkutano wa TICAD 6 kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha
Kenyatta (KICC) jijini Nairobi Agosti 28, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa nchi mbalimbali
wanaoshiriki katika Mkutano wa TICAD 6 kwenye Kituo cha Kimataifa cha
Mikutano cha Kenyeatta (KICC) jijini Nairobi Agosti 28, 2016.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni