MAJALIWA AKUTANA NA MO NA KUFANYA MAZUNGUMZO JIJINI DAR
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
 akizungumza na Mkurugenzi  Mtendaji wa Makampuni ya  Mohammed 
 Enterprises Tanzania Limited (METEL), Bw. Mohammed Dewji, Ofisini kwake
 jijini Dar es salaam Agosti 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni