Jumanne, 30 Agosti 2016

MWANDISHI SIMON KIVAMWO ANAHITAJI DAMU KUOKOA MAISHA YAKE, SHIMYE WANAHABARI NA WADAU


KIV
Bw. Simon Kivamwo
 
Waandishi wa habariwakitoa damu ili kuwezeshamatibabu ya Mwandishi wa habari
mkongwe hapa nchini Bw. Simon Kivamwo ambaye anapatiwa matibabu kwenye
hospitali ya Ocean Raod iluyoko jijini Dar es Salaam leo Agosti 30,
2016. Kwa mujibu wa Mwandishi wa Habari anayeratibu zoezi hilo
Bw.Thompson, Kivamwo ambaye anaugua kwa muda mrefu sasa, amezidiwa na
maradhi leo hii na kukimbizwa kwenye hospitali hiyo ambapo madaktari
walihitaji kumuongezea damu. Benjamin Thomspon ametoa  wito kwa
wanahabari na jamii kwa ujumla kujitokeza kumchangia damu mwanidhi
mwenzetu ili kuokoa maisha yake. Sehemu ya kutolea damu ni Hospitali ya
Mnazi Mmoja, Kariakoo jijini Dar es Salaam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni