Meneja
masoko na mauzo wa wakala wa ununuzi serikalini GPSA Hamza hasani
(wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma zinazotolewa
na wakala hao kwa mteja Bi NURU CHIWAMBA aliyetembelea kwenye
banda la wakala hao kwenye maonyesho ya nanenane viwanja vya
Ngongo mkoani Lindi , (kulia ni Huseni Athumani Muhasibu wa GPSA
mkoa Lindi na katika Meneja wa GPSA Mkoa wa Lindi Mwakiselu
Mwambange )
wafanyakazi
wa wakala wa wakala wa ununuzi serikalini GPSA wakiwa kwenye banda
lao lililopo kwenye viwanja vya ngongo mkoani LINDI wakala wa
ununzi serikalini lengo kuu na
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni