MHE SPIKA NDUGAI ALIPOKUTANA NA MHE MBOWE
Kiongozi
 wa Kambi rasmi  ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe akisalimiana na 
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dar 
es Salaam.Spika wa Bunge amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini 
India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya
 upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe aliyemtembelea Nyumbani kwake Jijini
 Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni