NAKATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AKUTANA NA MWAKILISHI WA SHIRIKA LA (GIZ) LA UJERUMANI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin
Kamuzora (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa shirika la
maendeleo la Ujerumani (GIZ) Dkt. Regine Qualmann kuhusu ushirikiano
baina ya Wizara na shirika hilo katika upande wa Tehama .
Mwakilishi Mkazi wa shirika la
Maendeleo la Ujerumani (GIZ) Dkt. Regine Qualmann (katikati) akizungumza
jinsi wanavyoitumia TEHAMA katika kufikisha huduma, (kushoto) ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano anayesimamia
sekta ya Mawasiliano Prof. Faustin Kamuzora na (Kulia) ni Naibu Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Dkt. Maria Sasabo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni