MIILI YA ASKARI WALIOUAWA NA MAJAMBAZI YAAGWA LEO KUPELEKWA MIKOANI KWA MAZISHI.
Waziri wa Wizara ya  Mambo ya 
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza wakati wa  kuaga miili ya 
askari waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na 
majambazi .Ibada hiyo ya kuaga  ilifanyika katika Viwanja vya  Polisi 
 vilivyopo  barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, 
Ernest Mangu, akizungumza wakati wa maombolezo na kuaga miili ya askari 
waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na 
majambazi.Ibada hiyo ya kuaga  ilifanyika katika Viwanja vya  polisi 
vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa  Wizara ya Mambo ya 
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya
 majeneza yaliyobeba  miili ya askari waliouawa baada ya kuvamiwa na 
majambazi    katika eneo la Mbande, Temeke ,bada hiyo ya kuaga miili 
ilifanyika katika viwanja vya polisi  vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini
 Dar es Salaam.
Waziri wa  Wizara ya Mambo ya 
Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu 
wa  askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi  katika eneo la 
Mbande, Temeke ibada hiyo ya kuaga miili  ilifanyika katika viwanja vya 
 polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa   Wizara ya Mambo 
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni , akitoa mkono wa pole kwa 
mmoja wa ndugu wa  askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi 
 katika eneo la Mbande, Temeke ,ibada hiyo ya kuaga miili  ilifanyika 
katika Viwanja vya Kambi Kuu ya Polisi iliyopo barabara ya Kilwa,jijini 
Dar es Salaam.
Askari wakimsaidia mzazi wa mmoja 
wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi  katika eneo la 
Mbande, Temeke, ibada hiyo ya kuaga miili  ilifanyika katika viwanja vya
  polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.(Picha zote na
 Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni