MAJALIWA AKUTANA NA MKURUGENZI WA BENKI YA DUNIA NCHINI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini, Bi. Bella Bird
kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Maajliwa
akizungumza na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini, Bi. Bella Bird,
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni