RAIS DKT MAGUFULI AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI WA JIJI LA MWANZA UWANJA WA FURAHISHA LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi
wa mkoa wa Mwanza na maeneo ya kanda ya ziwa katika mkutano wa hadhara
katika uwanja wa Furahisha eneo la Kirumba jijini humo.
APICHA NA IKULU
Umati wa wananchi ukiwa umefurika
kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza wakimsikiliza Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni