UFUNGUZI WA MAFUNZO KUHUSU MWONGOZO WA USIMAMIZI WA UWEKEZAJI WA UMMA KWA MIKOA YA TABORA, KIGOMA, SHINYANGA NA KATAVI
Bi. Lorah Madete, Kaimu Naibu
Katibu Mtendaji, Klasta ya Uchumi Jumla, Tume ya Mipango, akitoa neno
kwa Maofisa na watendaji wa Idara za Sera na Mipango kutoka mikoa ya
Tabora, Kigoma, Shinyanga na Katavi ambao ni washiriki wa mafunzo
yanayohusu Mwongozo wa Usimamizi wa Uwekezaji wa Umma kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi ili afungue mafunzo hayo ya siku tano.
Waliokaa ni Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Tume ya
Mipango (katikati) na Dr. Jehovaness Aikaeli, Mhadhiri Mwandamizi na
Mkuu wa Idara ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Washiriki wa Mafunzo kuhusu
Mwongozo wa Usimamizi wa Uwekezaji wa Umma ambao ni Maofisa na Watendaji
wa Idara za Sera na Mipango kutoka mikoa ya Tabora, Kigoma, Shinyanga
na Katavi wakimsikiliza kwa makini Mgeni Rasmi (hayupo pichani) wakati
wa ufunguzi wa mafunzo hayo yanayofanyika Mkoani Tabora.
Washiriki wa mafunzo kuhusu
Mwongozo wa Usimamizi wa Uwekezaji wa Umma kwa Maofisa na watendaji wa
Idara za Sera na Mipango kutoka mikoa ya Tabora, Kigoma, Shinyanga na
Katavi pamoja na wawezeshaji wa mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja na
Mgeni Rasmi Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu Mtendaji, Tume ya
Mipango (aliyekaa katikati) mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo.

Picha zote Na: Thomas Nyindo-Tume ya Mipango
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni