MAJALIWA ASHIRKIKI MKUTANO WA APRM- NAIROBI
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
 akiwa katika maungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya (kulia), Rais wa
 Msumbiji,  Filipe Nyusi (wapili kulia) na Mwenyekiti  wa Umoja wa 
Afrika (AU), Madame Nkosazana Dlamini- Zuma kabla ya kuanza kwa Mkutano 
wa African Peer  Review Mechanism Forum (APRM) kwenye ukumbi wa hoteli 
ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti 26, 2016. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa 
akisalimiana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni  kabla ya kuanza kwa 
Mkutano wa African Peer  Review Mechanism Forum (APRM)kwenye ukumbi wa 
hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti 26, 2016. (Picha na 
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na 
ujumbe wake wakishiriki katika Mkutano wa African Peer  Review Mechanism
 Forum (APRM)kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi 
Agosti 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni