MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI KIGALI, RWANDA KWA AJILI YA KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI WA UMOJA WA AFRIKA
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na 
Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda, Francis Gatare alipowasili 
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali, Rwanda kwa ajili ya  
kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa 
Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. John 
Magufuli katika mkutano huo picha na (OMR)
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan 
akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda ,Francis Gatare
  mara alipowasili kwenye Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Kigali kwa 
ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na SerIkali wa nchi 
wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa rais anamwakilisha Rais 
Dkt  John Magufuli Katika Mkutano huo ,Picha na (OMR)
Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan 
akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda,Francis Gatare 
kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kigali, Rwanda mara baada ya 
Kuwasili nchini humo kwa ajili ya Kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na
 Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa Rais 
anamwakilisha Rais Dkt John Magufuli katika Mkutano huo. (Picha na OMR)
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni