Jumapili, 31 Julai 2016

FREEMAN MBOWE AJIPELEKA POLISI LEO

By Newsroom on July 31, 2016 
indexMwenyekiti wa Chama Taifa wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa, John  Mnyika, Mkiti wa Baraza la Wazee Hashimu Issa Juma na  Mwanasheria Mkuu wa Chama Tundu Lissu, wakiwasili  Kituo Kikuu cha Polisi (Central) Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ambapo Mwenyekiti Mbowe ameitikia wito wa jeshi hilo kupitia wa ZCO Wambura wa kumhitaji afike hapo leo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni