MSAMA AMPONGEZA WAZIRI NAPE KWA KUKAMATA KAZI FEKI ZA WASANII, ASEMA ANAUNGANA NAYE KATIKA VITA HIYO
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama
Action Mart Bw Alex Msama akionyesha Stika za TRA zinazodaiwa kutolewa
kimyemela na Baadhi ya watumishi wa TRA waso waaminifu kwa kushirikiana
na watu wanaorudufu kazi za wasanii kinyemela ili kujipatia kipato Msama
Amempngeza Waziri wa Habari , Uramaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape
Nnauye kwa kazi aliyoifanya kutoka ofisini na kuenda kwenye maduka
mbalimbali Kariakoo kwa ajili ya kusaka wezi wa kazi feki za wasanii
Amesema Jambo hilo limemtia moyo
kama mpigania haki wa kazi za wasanii ambaye amekuwa akipambana kila
siku ili wasanii waweze kufaidika na jasho lao na ataendelea na kazi ya
kuhakikisha wezi wote wa kazi za sanaa wanashughulikiwa kisheria na
kuwafanya wasanii nao wanafaidi jasho lao.
Bwa Alex Msama akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es salaam.
Hii ni moja ya CD feki iliyobandikwa stika za TRA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni