Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa pili
kulia) akiongea jambo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Dkt. Binilith Mahenge
(wa pili kushoto) wakati alipokagua uwanja wa Songea Mkoani Ruvuma.
Muonekano wa uwanja wa ndege wa Songea Mkoa ni Ruvuma, ambao uko kwenye mradi wa upanuzi wa viwanja kumi na moja.
Waziri
wa Ujenzi, Uchuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa tano
kushoto) akitoa maelekezo kwa Meneja wa kiwanja cha ndege cha Songea,
Valentine Fasha (wan ne kulia) wakati alipokagua barabara ya kutua na
kuruka ndege katika uwanja huo Mkoani Ruvuma.
Muonekano
wa Barabara ya Mbinga-Mbambabay KM 66 ambayo ujenzi wake kwa kiwango
cha Lami unatarajiwa kuanza hivi karibuni. Kukamilika kwa barabara hiyo
kutachochea uchumi wa Mkoa wa Ruvuma kupitia bandari ya Mbambabay.
Waziri
wa Ujenzi, Uchuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa(kulia) akiteta
Jambo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wakati alipomtembelea ofisini kwake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni