Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho
kulia akopokea moja baadhi ya vikombe 11 ambavyo timu ya uchukuzi
imeshinda katika mashindano ya mei mosi yaliyofanyika mapema mwezi mei
mkoani Dodoma, anayemkabidhi ni Katibu wa Uchukuzi Sports Club Bw. Alex
Temba.(Picha na Benjamin Sawe- Maelezo)
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho
kulia akipokea cheti cha ushiriki wa mashindano ya mei mosi
yaliyofanyika mpema mwezi mei mkoani Dodoma, anayemkabidhi ni Katibu wa
Uchukuzi Sports Club Bw. Alex Temba.(Picha na Benjamin Sawe- Maelezo)
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho
kulia akipokea zawadi ya jezi kutoka kwa Katibu wa Uchukuzi Sports Club
Bw. Bw. Alex Temba mara baada ya kupokea vikombe 11 ambavyo timu ya
uchukuzi imeshinda katika mashindano ya mei mosi yaliyofanyika mpema
mwezi mei mkoani Dodoma, kati ya hivyo vikombe 5 vilitolewa na Rais wa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli
vikiwa ni ushindi wa kwanza katika netball Kamba,Baiskeli na Bao.
(Picha na Benjamin Sawe- Maelezo)
Katibu
wa Uchukuzi Sports Club Bw. Alex Temba akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara
ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho kabla ya
kumkabidhi baadhi ya vikombe 11 ambavyo timu ya uchukuzi imeshinda
katika mashindano ya mei mosi yaliyofanyika mapema mwezi mei mkoani
Dodoma katikati ni Mkurugenzi waUtawala na Rasilimali Watu wa Wizara
hiyo. (Picha na Benjamin
Katibu
Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Leornard Chamuriho
aliyeshika Kikombe akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na
wachezaji wa timu ya Uchukuzi Sports Club mara ya kupokea vikombe na
vyeti vya ushindi wa timu hiyo katika mashindano ya mei mosi
yaliyofanyika mapema mwezi mei mkoani Dodoma. (Picha na Benjamin Sawe-
Maelezo)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni