Jumatatu, 11 Julai 2016

HONGERA MARIA KAIRA KWA  KUKUMBUKU YA SIKU YA KUZALIWA..

Blogu ya Makanya West ina mpa mpongeza na kumtakia kila la kheri katika safari yake ya Maisha, Mwandishi wa Gazeti la Raia Tanzania, Maria Kaira, kwa kuweza kutimiza 25. Blogu ina mtakia kila la kheri katika safari yake ya Maisha.



    Wafanyakazi na waandishi wa Gazeti la Raia Tanzania, kutoka kushoto ni Mpiga Picha wa Gazeti hilo, Raymond Urio, Mwandishi, Sophia Manace. wa pili kutoka kulia ni Mpiga Picha, Elisa Shunda na Magreth Yohana, wakiwa katika Picha ya Pamoja na Mwandishi mwenzao Maria Kaira (wa tatu kutoka kulia na kushoto). 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni