 Brasbend
 ya Chipkizi ikiongoza maandamano ya uzinduzi wa mabaraza ya vijana 
Jimbo la Magomeni katika shamrashamra za uzinduzi wa mabaraza hayo 
uliofanyika uwanja wa Magae Meya Mjini Zanzibar.

  Sabra Abdalla Amer akisoma risala ya vijana katika uzinduzi wa mabaraza ya vijana Jimbo la Magomeni.

  Mwenyekiti
 wa mabaraza ya Vijana Jimbo la Magomeni Kassim Lila Msoma akimkaribisha
 mgeni rasmin katika uzinduzi wa mabaraza ya vijana Jimbo la Magomeni, 
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Bi. Marina  Joel Tomas (hayupo pichani).

  Mkuu
 wa Wilaya ya Mjini Bi. Marina Joel Tomas akizungumza na Vijana wa Jimbo
 la Magomeni katika uzinduzi wa mabaraza ya Vijana Jimbo la Magomeni 
kabla yakulizindua rasmin Baraza hilo Julay 16, (kulia) Mbunge wa Jimbo 
hilo Jamal Kassim Ali na (kushoto) Mwenyekiti wa mabaraza ya Vijana 
Jimbo la Magomeni Kassim Lila Msoma.

  Baadhi
 ya Vijana wa mabaraza ya vijana Jimbo la Magomeni wakimsikiliza Mgeni 
rasmin Mkuu wa Wilaya ya Mjini Bi. Marina Joel Tomas hayupo (pichani) 
wakati wa uzinduzi huo.

 wa Wilaya ya Mjini Bi. Marina Joel Tomas na Mbunge wa Jimbo la Magomeni
 Jamal Kassim Ali wakiwapungia mkono Vijana kuwaaga baada ya uzinduzi wa
 mabaraza ya Vijana Jimbo la Magomeni.

Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
………………………………………………………………………………………..
Na Maryam Kidiko/Maelezo Zanzibar.  
“Serikali ni muhimu kusimamia 
tamaduni na mila za kizanzibar ili sisi vijana tuweze kufata njia 
walizopita viongozi wetu na sio kuvuruga mila hizo” Alisema Mwenyekiti 
huyo.
Akizitaja changamoto mbali mbali 
zinazowakabili katika jimbo lao alisema vijana hawana elimu ya kutosha 
ya ujasiriamali hivyo hupelekea vijana wengi kutegemea ajira kutoka 
Serikalini jambo ambalo hurejesha nyuma maendeleo ya vijana na 
kujiingiza katika utumiaji wa madawa ya kulevya pamoja na uhalifu .
Hata hivyo alisema vijana hawana 
ofisi, vianzio vya kuanzishia miradi pamoja na vitendea kazi vitavyoweza
 kuwaendeshea miradi mbali mbali katika mabaraza yao.
Uzinduzi wa mabaraza ya vijana umefikia mwisho kwa Wilaya ya Mjini.
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni