|  | 
| Katibu
 Mtendaji Bodi ya Filamu, Bi. Joyce Fissoo akisisitiza jambo wakati wa 
mazungumzo na Wawakilishi wa Wasambazaji wa kazi za Sanaa nchini (hawapo
 pichani) waliotembelea kujua Urasimishaji wa kazi hizo katika ofisi ya 
Bodi hiyo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam. | 
|  | 
| Afisa
 Utamaduni Bodi ya Filamu, Bw. Romanus Tairo akielezea jambo wakati wa 
mazungumzo na Wawakilishi wa Wasambazaji wa kazi za Sanaa 
nchiniwaliotembelea kujua Urasimishaji wa kazi hizo  katika ofisi ya 
Bodi hiyo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam. | 
|  | 
| Mwakilishi
 wa Wahifadhi kazi za Sanaa, Bw. Frank Pangoni (kushoto) akifafanua 
jambo wakati wa mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu 
yaliyofanyika leo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam. | 
|  | 
| Mkurugenzi
 Kampuni ya Salt Inc, Bw. Edwin Musiba akifafanua (kulia) jambo mbele ya
 Wasambazaji kazi za Sanaa wakati wa mazungumzo na Katibu Mtendaji wa 
Bodi ya Filamu yaliyofanyika leo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam. | 
|  | 
| Mwakilishi
 wa Wauzaji DVDs Mikononi, Bw. Jumanne China (kulia) akieleza jambo 
mbele ya Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu wakati wa mazungumzo 
yaliyofanyika leo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam katika ofisi hiyo. | 
|  | 
| Mwakilishi
 wa Wauzaji wa Jumla wa kazi za Sanaa, Bw. Augustino Karia (wa pili 
kushoto) akimweleza jambo Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu wakati wa 
mazungumzo yaliyofanyika leo 25 Julai, 2016 jijini Dar es Salaam katika ofisi hiyo.
 | 
 (Picha zote na Benedict Liwenga)
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni