Yaliyojiri usiku wa TBL Group MOTISHA Awards
Kampuni ya TBL Group
imewatunukiwa tuzo wafanyakazi wake tuzo ya MOTISHA kwa kutambua mchango
mkubwa walioutoa kuleta mafanikio kwa kampuni katika kipindi cha mwaka
uliopita.
Hafla ya kukabidhi
tuzo zinazojulikana kama “Tuzo za Motisha za TBL Group” ilifanyika
katika ukumbi wa Mlimani City na ilihudhuriwa na wafanyakazi zaidi ya
300 kutoka viwanda vyote vilivyopo chini ya kampuni hiyo kutoka mikoa
ya Dar es Salaam,Kilimanjaro,Mbeya na Mwanza na kiwanda cha Mwanza
kilitunukiwa tuzo ya ushindi wa jumla .
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni