 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli 
akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt 
Frannie Leutier aliyemtembele Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Julai 
26, 2016. Kushoto ni ni Mwakilishi wa Benki hio nchini, Bi. Tonia 
Kandiero.

akimewangalia  Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt 
Frannie Leutier akisaini kitabu alichotunga kabla ya kumkabidhi Rais 
alipomtembele Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Julai 26, 2016

akipokea kitabu kutoka kwa   Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya 
Afrika Dkt Frannie Leutier alipomtembele Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma 
leo Julai 26, 2016.

akiagana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Frannie 
Leutier aliyemtembele Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Julai 26, 2016.
 Katikati ni Mwakilishi wa Benki hio nchini, Bi. Tonia Kandiero.
   Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli 
akiagana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Frannie 
Leutier aliyemtembele Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma leo Julai 26, 2016.
 Katikati ni Mwakilishi wa Benki hio nchini, Bi. Tonia Kandiero. Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli 
katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
 Dkt Frannie Leutier  na ujumbe wake aliyemtembele Ikulu ya Chamwino 
mjini Dodoma leo Julai 26, 2016. Wa tatu kutoka kushoto ni Naibu Waziri 
wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, wa tatu kulia ni Mwakilishi wa 
Benki hio nchini, Bi. Tonia Kandiero, kulia ni Mchumi Mkuu kutoka Idara 
ya Fedha za Nje Bw. Johannes Jovin akifuatiwa na Mkrugenzi Idara ya 
Ushirikiano wa Kimataifa Wizara mambo ya Nje Balozi Celestine Mushy. 
Kushoto ni Mshauri wa Rais Masuala ya Profesa Longinus Rutasitara 
akifuatiwa na Mshauri wa Rais masuala ya Diplomasia Balozi Zuhura 
Bundala.

PICHA NA IKULU
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni