 Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
(kushoto) akimuapisha Bw.Said Bakar Jecha kuwa Kamishna wa Tume ya 
Maadili ya Viongozi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini 
Zanzibar leo.

(kushoto) akimuapisha Bibi Septuu Mohamed Nassor kuwa Kamishna wa Tume 
ya Maadili ya Viongozi wa Umma,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini 
Zanzibar leo,

(kushoto) akimuapisha Dk.Juma Yakout Juma kuwa Naibu Katibu Msaidizi wa 
Baraza la Mapinduzi (Sera,Ufuatiliaji na Tathmini) katika  hafla 
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.

(kushoto) akimuapisha Ndg.Tahir Mohamed Khamis Abdulla kuwa Naibu Katibu
 Mkuu Wizara ya Ardhi,Maji,Nishati na Mazingira  katika  hafla 
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar

  Waziri
 wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa 
Haji Ussi (Gavu) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria,utumishi 
wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman wakiwa ni miongoni mwa 
Viongozi waliohudhuria katika kuapishwa Viongozi mbali mbali leo Ikulu 
Mjini Zanzibar.

[Picha na Ikulu.] 25/07/2016.
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni