Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime akisaini kitabu
cha wageni alipowasili ofisini kwa Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,
Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura kuwasilisha taarifa ya
mapendekezo ya kuboresha tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21
Jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura
akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John
Kitime mara baada ya kupokea taarifa ya mapendekezo ya kuboresha
tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
Afisa
Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw.
Habibu Msammy akichangia mada wakati wa majadaliano kati ya na Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura na
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime kuhusu
maboresho ya tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21 Jijini Dar es
Salaam.
Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime akizungumza na
Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia
Wambura ofisini kwa Naibu Waziri wakati aki wasilisha taarifa ya
mapendekezo ya kuboresha tasnia ya Muziki hapa nchini leo Julai 21
Jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura
akipokea moja ya kazi ya muziki wa dansi alizowahi kufanya Mzee Kitime
baba wa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime leo
Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura
(wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa
Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime(kulia), wa pili kushoto ni
Afisa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo
Bw. Habibu Msammy na kushoto katibu wa Naibu Waziri Bi. Anna Nkinda
leo Julai 21 Jijini Dar es Salaam.
( Picha zote na Shamimu Nyaki WHUSM)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni