 Rais
 Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi 
Taifa Mh. Dk. Jakaya Kikwete wakati akifungua kikao cha Kamati Kuu ya ya
 Halmashauri kuu ya  CCM kilichofanyika leo Makao Mkuu ya CCM Dodoma 
kupendekeza jina la Mwenyekiti mpya wa CCM ambapo jina hilo litapelekwa 
kwenye Halmashauri Kuu ya Taifa kwa ajili kupelekwa kwenye mkutano 
mkuu   na kuthibitishwa katika Mkutano Mkuu maalum wa CCM unaotarajiwa 
kufanyika Julai 23 mwaka huu mjini Dodoma, Katikati ni Makamu Mwenyekiti
 wa CCM Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed 
Shein.

  Mwenyekiti
 wa Chama cha Mapinduzi Taifa Mh. Dk. Jakaya Kikwete  akifungua kikao 
cha Kamati Kuu ya ya Halmashauri kuu ya  CCM kilichofanyika leo Makao 
Mkuu ya CCM Dodoma Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip 
Mangula na katikati ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurrahman Kinana.

 Dk John Pombe Magufuli kushoto pamoja na Mwenyekiti wa CCM Dk Jakaya 
Kikwete na viongozi wengine wakiimba wimbo maalum wa CCM wakati mkutano 
huo uliofanyika leo Makao Mkuu ya CCM Dodoma

Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu 
William Lukuvi akizungumza na wajumbe wenzake Adam Kimbisa kushoto na 
Nape Nnauye Katibu Mwenezi wa CCM Taifa.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  Adam
 Kimbisa akuzungumza na wajumbe wenzake kutoka kushoto ni Nape Nnauye 
Katibu Mwenyezi wa CCM Taifa, Mama Zakia Megji , William  Lukuvi na 
Mohamed Seif Khatib.
Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa akisalimiana na Wajumbe wa kamati kuu wakati alipowasili kuhudhuria katika mkutano huo.
Wajumbe wa Kamati Kuu Mzee Steven
 Wasira kulia na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka wakifurahia 
jambo kabla ya mkutano huo kuanza.
  Mjumbe wa Kamati kuu kutoka Zanzibar Sadifa
 Juma Khamis akizungumza na mjumbe mwenzake Mwenyekiti wa Jumuiya ya 
Wazazi CCM Ndugu Abdallah Bulembo kutoka kulia ni Jerry Silaa na Hussein
 Mwinyi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni