NASHUKURU MUNGU KWA KUUTUA MZIGO SALAMA HUKU NIKIICHA NCHI IKIWA SALAMA TULII KABISA-JK
akizungumza na wananchi na wafuasi wa Chama cha Mapiduzi katika hafla ya
kumkaribisha nyumbani mwenyekiti huyo mstaafu wa CCM,iliyofanyika
wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Jakaya Kikwete katika hafla ya
kumkaribisha nyumbani mwenyekiti huyo mstaafu wa CCM,iliyofanyika wilaya
ya Bagamoyo.PICHA NA MICHUZIBLOG
……………………………………………………………………………………………………………
Na David John Pwani
MWENYEKITI Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.Jakaya Kikwete
amesema anashukuru Mungu Kwa kuutua mzigo salama huku akiicha nchi
ikiwa salama tulii kabisa.
amesema anashukuru Mungu Kwa kuutua mzigo salama huku akiicha nchi
ikiwa salama tulii kabisa.
Amesema kuwa safari yake ya urais  ilianzia Bagamoyo akitokea wilayani hapo ambapo baada ya hapo
alikwenda Kibaha kutangaza nia ya kugombea urasi nakudai kuwa amejisikia
flaha kurudi tena Bagamoyo akiwa salama.
alikwenda Kibaha kutangaza nia ya kugombea urasi nakudai kuwa amejisikia
flaha kurudi tena Bagamoyo akiwa salama.
Amesema wakati  akielekea kutanga nia ya kugombea urais alikuwa na mtoto wake Ridhiwani
Kikwete ambapo yeye alikuwa anaandika na Ridhiwani anachapa kwenye
Komputa.
Kikwete ambapo yeye alikuwa anaandika na Ridhiwani anachapa kwenye
Komputa.
Dkt.Kikwete ameyasema hayo leo 
wilayani Bagamoyo katika hafla ya kumkaribisha Nyumbani baada ya 
kuitumikia nchi Kwa miaka  mingi, ambapo iliandaliwa na Chama Cha 
Mapinduzi Mkoa wa Pwani.
Alisema.anashukuru Kwa Mara nyingine kurudi mahala alipoazia na kwamba amemaliza salama na
ameacha nchi ikiwa salama na imetulia tulii kama Maji kwenye mtungi. Akikumbuka mchakato wa mwakajana wa kumpata Mgombea ulikuwa na mambo mengi lakini mambo yalikwenda salama na hakuna lililokuwa limeharibika .

“Ilikuwa Kazi kubwa si ndogo 
lakini hatimaye wa kavuka na  wakaingia kwenye uchaguzi ambao ulikuwa na
 vurumayi”amesema Dkt.Kikwete  .Aidha amesema kuwa hata hivyo katika 
uchaguzi huo kulikuwa hakuna mtu
ambaye alipatwa na tukio la kumpiga mwezake hali ambayo iliwashangaza
hata nchi jirani.
ambaye alipatwa na tukio la kumpiga mwezake hali ambayo iliwashangaza
hata nchi jirani.
Alisema kuwa katika kipindi chake
 cha uongozi  amefanya kazi kubwa ya kusukuma maendeleo ya wananchi Kwa 
mikoa  yote,wilaya zote bila ubaguzi wowote ule huku akikiri kukabiliana
 na  Changamoto ya kunyoshewa vidole hususani pale alipojalibu kupeleka 
 maendeleo Wilayani Bagamoyo konakamba wananchi wa Bagamoyo walikuwa  
hawana haki.
Aidha Dkt.Kikwete alisema kuna 
wakati alisimamisha  fedha za ujenzi wa barabara hiyo na kupeleka fedha 
hizo kujenga barabara ya Geita, Sengerema,usagala ,na kulizuka na Maneno
 mengi dhidi yake na
hadi kufikia wabunge kulumbana.
hadi kufikia wabunge kulumbana.
Amesema hata hivyo anashukuru  
kwamba amemaliza salama na Kwa Bahati nzuri amepatikana rais ambaye ana 
 ari kubwa ya kuwaletea maendelea watu huku akitaka watanzania kumuunga
mkono. Wanachana
mkono. Wanachana
Wanachama wa Chama cha  Mapinduzi Mkoa wa Pwani leo wamejitokeza Kwa wingi kumkaribisha nyumbani
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama hicho Dkt.Jakaya Kikwete katika sherehe zilizofanyika wilayani Bagamoyo. Wanachama hao ambao walitoka katika wilaya zote za Mkoa wa Pwani wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa Masikuzi. pamoja na Katibu Joyce Masunga walimuaga na kumkaribisha
Kwa nyimbo mbalimbali.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni