Jumatatu, 18 Julai 2016

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AKISHIRIKI MKUTANO WA AU KIGALI RWANDA

mak1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifuatilia kwa makini ufunguzi wa mkutano wa 27 kwa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi  Wanachama wa Umoja wa Afrika AU ulioanza jana katika Ukumbu wa KCC mjini Kigali Rwanda. Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo. (Picha na OMR)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni