MADIWANI WA HALMASHAURI ZA KYERWA NA BIHARAMULO WAANZA MAFUNZO YA YA UTEKELEZAJI WA MRADI WA PS3 MKOANI KAGERA
Mkuu
 wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera, Deusdedith Kinawiro akifuyngua 
mafunzo ya siku nne ya Madiwani kutoka Hlamashauri mbii za Kyerwa na 
Biharamuo juu ya namna ya utekelezaji wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo 
ya Sekta za umma (PS3) chini ya ufadhili wa Serikali ya Marekali kupitia
 shirika ake la misaada la Kimataifa (USAID) ikishirikiana na serikali 
kuu.
Mradi huo ulizinduliwa Julai 12 
mwaka huu ambapo Halmashauri hizo mbii ndio zitatekeeza mradi huo mkoani
 Kagera kwa awamu ya kwanza.
Kinawiro alisema anatarajio kuona
 mafunzo haya elekezi yanatumika kama ilivyokusudiwa, na waheshimiwa 
madiwani wanapata uelewa na maarifa kuhusu uendeshaji wa Serikali za 
Mitaa, pamoja na wajibu na majukumu yao katika kusimamia uendeshaji wa 
Mamlaka hizi 
Mkuu
 wa Wilaya ya Kyerwa, Kanali (Mstaafu), Shabaan Lissu akiwa na Mkuu wa 
Wiaya ya Biharamulo, Saada Malunde wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo ya
 madiwani yaliyofanyika mjini Bukoba leo. 
 Mwenyekiti
 wa Hlamashauri ya Kyerwa, Kashunju Runyogote (kushoto) akiwa na 
madiwani wenzake wa Kyerwa wakifuatilia hotuba ya ufunguzi.
 Baadhi ya Madiwani na Watendaji wa Hamashauri za Kyerwa na Biharamuo mkoani Kagera wakifuatilia ufunguzi huo.
 Kiongozi wa timu ya Uzinduzi ya PS3 Mkoani Kagera na Mtaalam wa Fedha 
wa Mradi huo wa PS3, Abdul Kitula akizungumza juu ya mafunzi hayo kwa 
madiwani.
Kitua aliwataka watendaji hao kushiriki kikamilifu katika 
mafunzo hayo ambayo ndio utekelezaji wa mradi wa Uimarishaji wa Mifumo 
ya Sekta za  Umma ambao nchini unatekelezwa katika mikoa 13 na 
kuzinufaisha Halamashauri 93. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni