MKWASA AITA NYOTA 24 STARS
Kwa
mujibu wa Mkwasa, timu hiyo itaingia kambini Agosti 1, 2016 na itadumu
kwa siku tano tu kabla ya kuvunjwa na kuitwa tena mwishoni mwa mwezi
Agosti, 2016 kujiandaa na kambi ya mwisho na moja kwa moja itakuwa ni
kwa ajili ya safari kwenda Nigeria.
Katika
kikosi hicho, Mkwasa hajaita nyota wa kimataifa akiwamo Nahodha, Mbwana
Samatta wa FC Genk ya Ubelgiji na Thomas Ulimwengu wa TP Mazembe ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kwa sababu ya majukumu waliyonayo
kwenye klabu zao kwa sasa.
Kadhalika,
nyota hao wataungana na wenzao nchini Nigeria kwa kuwa mchezo huo upo
kwenye kalenda ya CAF na ni wa mashindano. Mchezo huO ambao ni wa
kukamilisha ratiba, Mkwasa amesema utakuwa mgumu kwani Nigeria
wamebadili benchi la ufundi hivyo kila timu inaungalia mchezo huu kwa
jicho la pekee.
Wachezaji walioitwa ni:
Makipa:
Deogratius Munishi
Aishi Manula
Benny Kakolanya
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni