KARIBU MJUMBE: MAKAMU WENYEVITI WA CCM BARA NA ZANZIBAR WAMKARIBISHA MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM, RAIS DKT. MAGUFULI LEO
 Makamu
 Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na Makamu Mwenyekiti wa 
CCM-Zanzibar, Rais Dk. Ali Mohammed Shein, wakimuonyesha kiti cha kukaa,
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli, walipoingia 
ukumbini, kabla ya kuanza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya 
CCM, kilichoongozwa  na Mwenyekiti wa CCM, Dk Jakaya Kikwete,  katika 
ukumbi  wa Sekretarieti, katika jengo la White House, Makao Makuu ya CCM
 mjini Dodoma, leo.Kamati kuu hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kupendekeza 
jina la Dkt Magufuli kuwa Mwenyekiti na baadae kuliwasilisha jina hilo 
kwenye Halmashauri kuu ya Taifa kwa ajili ya kupeleka kwenye mkutano.
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni