BONDIA IDDI MKWELA ALIVYO MSAMBALATISHA MWITA MACHAGE. KWA K.O
Bondia Mwita Machage kushoto akipambana na Iddi Mkwela wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mkwela alishinda kwa K.O ya raundi ya kwanza katika mpambano huo Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Bondia Iddi Mkwela kushoto akimshambulia Mwita Machage kwa makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mkwela alishinda K.O ya raundi ya kwanza ya mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Refarii
Saidi Chaku akimnyoosha mkono juu bondia Iddi Mkwela baada ya kumdunda
kwa K.O ya raundi ya kwanza Mwita Machage kushoto ni bondia Vicent
Mbilinyi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kulia akifuraia baada ya bondia Iddi Mkwela kusinda kwa K.O ya raundi ya kwanza wakati wa mpambano wake uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ kulia akifuraia baada ya bondia Iddi Mkwela kusinda kwa K.O ya raundi ya kwanza wakati wa mpambano wake uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kushoto ni Sako Mwaisege ‘Dungu’ Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni