BAYPORT YACHANGIA UJENZI WA SEKONDARI YA LINDI
 Meneja wa Bayport Financial Services, Tawi la Lindi, Lovin Mapunda,
Meneja wa Bayport Financial Services, Tawi la Lindi, Lovin Mapunda,mwenye fulana juu ya jukwa, akitoa msaada wa Sh Milioni mbili katika
harambee ya kuchangia ujenzi wa shule ya sekondari Lindi iliyoungua,
ambapo harambee hiyo iliongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Picha na Mpiga Picha wetu.

Waziri
 Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa, wa
 pili kutoka kushoto mstari wa mbele, akifuatilia jambo wakati Meneja wa
 Bayport Financial Services, taasisi inayojihusisha na mikopo, tawi la 
Lindi, Lovin Mapunda, hayupo pichani wakati anatoa jumla ya sh Milioni 
mbili kwa ajili ya mchango wa taasisi yake kwa shule ya Sekondari Lindi,
 iliyopata balaa la kuungua kwa baadhi ya majengo yake. Picha na Mpiga 
Picha Wetu, Lindi.
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni