mkuu wa mkoa paul Makonda azindua kampuni ya NAS-DAR AIRCO
By Newsroom on July 18, 2016
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampuni ya NAS-DAR AIRCO, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
akiikaribisha kampuni hiyo katika mkoa wake kwa ajili ya kutoa huduma kwa abiria wa usafiri wa anga.
akiikaribisha kampuni hiyo katika mkoa wake kwa ajili ya kutoa huduma kwa abiria wa usafiri wa anga.
Mwenyekiti
wa NAS-DAR AIRCO, Salim Ajib akizungumza kuhusu kampuni ya NAS-DAR
AIRCO ambayo itakuwa ikifanya kazi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Mwalimu Nyerere.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Kampuni ya NAS-DAR AIRCO, David Handerson akielezea jinsi ambavyo
kampuni yao imejipanga kutoa huduma bora nchini.
kampuni yao imejipanga kutoa huduma bora nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mwenyekiti wa NAS-DAR AIRCO wakipongezana baada ya kufanya uzinduzi.
Continue reading →
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni