 Msafara
 wa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli ukiwasili kwenye 
uwanja wa Mashujaa tayari kwa maadhimisho hayo yaliyofanyika  katika 
Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa  mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 (PICHA 
JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DODOMA NA IKULU)

 Amiri
 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi 
mbalimbali mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Mashujaa tayari kwa 
kuongoza maadhimisho hayo yaliyofanyika  katika Mnara wa kumbukumbu ya 
Mashujaa  mjini Dodoma leo Julai 25, 2016

 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiielekea kwenye mnara wa 
kumbukumbu tayari kwa kuongoza maadhimisho ya mashujaa  katika Mnara wa 
kumbukumbu wa Mashujaa  mjini Dodoma leo Julai 25, 2016

 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima mara baada ya 
kuweka Sime na ngao  katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza 
Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016

 Baadhi
 ya askari wa vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama vikiwa vimejiweka 
tayari kwa ajili ya maadhimisho ya kumbukumbu  ya mashujaa 
iliyoadhimishwa leo kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma.

 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akielekea kwenye mnara tayari 
kwa  kuweka Sime na ngao  katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa 
alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 
2016

 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akikabidhiwa  Sime ili kuweka  
katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya
 Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka Sime katika Mnara
 wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja 
mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiweka Sime katika Mnara
 wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashuja 
mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 
 Amiri
 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima mara baada ya 
kuweka Sime na ngao  katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza 
Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri
 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akitoa heshima mara baada ya 
kuweka Sime na ngao  katika Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa alipoongoza 
Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 

 Amiri
 Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe 
Magufuli pamoja na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakiwa 
wamesimama na viongozi mbalimbali wakati wa maadhimisho hayo 
yaliyofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma leo.

 Viongozi mbalimbali wa serikali,vyama vya siasa wakiwemo wabunge wakiwa  katika maadhmisho hayo mjini Dodoma leo.

 Kutoka
 kulia ni Mke wa Rais Mama Janet Magufuli, Mwenyekiti wa TLP Bw. 
Agustino Mrema. Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Amer 
Pandu Kificho, Waziri wa mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba. Waziri wa 
Ulinzi Dk. Hussein Mwinyi, Mwanasheria mkuu wa Serikali Mh. George 
Masaju na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakiwa katika 
maadhimisho hayo.

 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Mstaafu wa awamu ya 
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakimpongeza Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John 
Malecela baada ya kuongea na wananchi kwenye Madhimisho ya Siku ya 
Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016
Amiri
 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais Mstaafu wa awamu ya 
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi wakimpongeza Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John 
Malecela baada ya kuongea na wananchi kwenye Madhimisho ya Siku ya 
Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 2016 
 Amiri
 Jeshi Mkuu Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea na wananchi baada ya 
kuweka silaha za jadi katika  Mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa 
alipoongoza Madhimisho ya Siku ya Mashujaa mjini Dodoma leo Julai 25, 

  Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi katika maadhimisho hayo.

 Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein akiongea wakati wa Madhimisho ya Siku ya Mashuja mjini Dodoma leo Julai 25, 20

 Baadhi ya wananchi wakishangilia wakati Rais Dk. John Pombe Majaliwa alipokuwa akizungumza katika maadhimisho hayo.

 Baadhi ya viongozi waliohudhuria maadhimisho hayo wakifuatilia hotuba 
ya Waziri Mkuu wakati alipokuwa akiwasalimia wakazi wa Dodoma 
waliohudhuria maadhimisho hayo kutoka kushoto ni Naibu Spika Tulia 
Akson, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar   Mhe Mohammed Said Mohammed Dimwa, Mke wa Rais Mama Janet Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakiwa katika maadhimisho hayo.

……………………………………………………………………………………………
Na: Immaculate Makilika- Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amewaasa watanzania 
kudumisha amani iliyopo ambayo ilipatikana baada ya Mashujaa mbalimbali 
kuipigania na hata kujitoa uhai wao kwa ajili ya Taifa.
Akizungumza leo, wakati 
akihutubia wananchi mara baada ya kumaliza shughuli za maadhimisho ya 
Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa  iliyofanyika katika viwanja vya Mashujaa
 vilivyopo mjini Dodoma.
Rais Magufuli alisema kuwa 
maadhimisho ya kumbukumbu za Mashujaa  ni muhimu kwa vile watu hao 
walijotoa kwa ajili ya kulitetea taifa.
“Wakati tunawakumbuka 
waliotangulia mbele za haki, sisi tuliobaki tudumishe amani hii, kama 
ambavyo wao waliotutangulia hawakujali dini zao bali taifa hili” alisema
 Rais Magufuli.
Aliongeza kuwa nchi ya Tanzania 
imebaki kuwa kisiwa cha amani, na amani hiyo isichezwe  bali ijengwe na 
kudumishwa kwa umoja na mshikimamano ili kusaidia kuitangaza nchi zaidi.
Aidha, viongozi mbalimbali wa 
Serikali akiwemo Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa 
Dkt.Ali Mohamedi Shein, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili  Mheshimiwa Alhaji
 Ali Hassan Mwinyi, Waziri Mkuu Mstaafu Mheshimiwa John Samweli Malecela
 nao wapewa fursa ya kuzungumza na wananchi kuhusu maadhimisho hayo ya 
kumbukumbu ya siku ya Mashujaa.
Viongozi hao, wamesisitiza 
umuhimu wa kudumisha amani iliyopo na kusema kuwa ni jukumu la wananchi 
 wote kuhakikisha  hawashiriki katika vitendo vitakavyosababisha  
 uvunjifu wa amani.
Ambapo, waliwataka wananchi 
kuwaombea Mashujaa wote waliofariki katika vita mbalimbali wakiwa  
katika  harakati za kulifanya Taifa la Tanzania kuwa huru.
Wakati huo huo, Waziri Mkuu 
Mheshimiwa Kassim Majaliwa, alisema kuwa atahakikisha anasimamia 
utekelezaji wa agizo la Rais la kuitaka Serikali kuhamia mjini Dodoma.
“Nahamia Dodoma mwezi wa tisa,na 
nitakapohamia mawaziri wote lazima wanifuate. Katika hili nitasimamia 
kwa nguvu zote” alisema Waziri Mkuu Majaliwa.
Awali, Mheshimiwa Rais Magufuli 
alisema kuwa atahakikisha katika kipindi cha utawala wake, Serikali 
inahamia mjini Dodoma, kwa vile Rais wa Awamu ya kwanza Mwl. Julius 
Nyerere alionesha nia ya kufanya hivyo.
 Aliongeza  kuwa  kwa sasa mji wa
 Dodoma unaweza kukidhi mahitaji hayo ya Serikali kwa kutumia  
miundombinu iliyopo, hata hivyo Serikali inaendelea kujenga miundombinu mipya.
Maadhimisho ya kumbukumbu za Mashujaa hufanyika Julai 25, ya kila 
mwaka, kwa   kufanya  maombolezo ya Mashujaa waliopigana katika vita 
mbalimbali katika harakati za kutetea uhuru wa nchi ya Tanzania.
Maadhimisho ya mwaka huu yamefanyika kwa mara ya kwanza mjini Dodoma,
 ambapo Rais John Pombe Magufuli alikuwa mgeni rasmi, ikiwa ni mara yake
 ya kwanza kuhudhuria maadhimisho hayo kama Rais wa Jamhuri ya Muungano 
wa Tanzania.
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni