 Waziri
 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati) akizungumza na 
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al Najem (kulia) masuala mbalimbali ya 
ushirikiano kati ya Kuwait na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika 
katika ofisi ya Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo.  Wapili 
kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni, kushoto 
ni Katibu Mkuu, Meja Jenerali Projest Rwegasira na Naibu Katibu Mkuu, 
Balozi Simba Yahya.

 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akizungumza na Balozi wa 
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini, Jean-Pierre Mutamba (kushoto) 
masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kongo na Tanzania. Mazungumzo 
hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam 
leo.

 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati) akimsikiliza na 
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al Najem (kulia) wakati alipokuwa 
akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Kuwait na 
Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Mwigulu, 
jijini Dar es Salaam leo.  Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara 
hiyo, Mhandisi Hamad Masauni, kushoto ni Katibu Mkuu, Meja Jenerali 
Projest Rwegasira na Naibu Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya.

 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (katikati) akimsikiliza 
Balozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini, Jean-Pierre Mutamba 
(kushoto) wakati alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya 
ushirikiano kati ya Kongo na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika 
katika ofisi ya Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Naibu
 Katibu Mkuu, Balozi Simba Yahya.

 wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kulia) akipokea zawadi ya 
Pambo kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al Najem. Waziri Mwigulu
 alizungumza na Balozi huyo masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya 
Kuwait na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri 
Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo.  Katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa 
Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya.

Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni