WAENDESHA BAISKELI ZAIDI YA 150 WACHUANA MASHINDANO YA ACACIA TUFANIKIWE PAMOJA CYCLE CHALLANGE 2016
 Mgeni
rasmi katika Mashindano hayo,Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo ,Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
waandamizi wa mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi pamoja na waendesha
baiskeli.
rasmi katika Mashindano hayo,Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo ,Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
waandamizi wa mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi pamoja na waendesha
baiskeli.
 Waendesha baiskeli kutoka mikoa
sita ya kanda ya Ziwa wakijiandaa kuchuana wakati wa Mashindano ya mbio za baiskeli ya Acacia Tufankiwe
Pamoja Cycle Challenge 2016 yaliyofanyika mkoani Shinyanga chini ya yakidhaminiwa
na kampuni ya Madini ya Acacia .
sita ya kanda ya Ziwa wakijiandaa kuchuana wakati wa Mashindano ya mbio za baiskeli ya Acacia Tufankiwe
Pamoja Cycle Challenge 2016 yaliyofanyika mkoani Shinyanga chini ya yakidhaminiwa
na kampuni ya Madini ya Acacia .
 
 
Baadhi ya Washiriki wa Mashindano ya Mbio za Baiskeli za Acacia Tufanikiwe
Pamoja Cycle Challange 2016 wakitafakari kabla ya kuanza kwa mbio
hizo.
Pamoja Cycle Challange 2016 wakitafakari kabla ya kuanza kwa mbio
hizo.
 Meneja
 Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi ,Asa Mwaipopo akizungumza jambo na Mgeni Rasmi
 ,Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Anastazia Wambura 
kabla ya kuanza kwa mashindano ya mbio za Baiskeli.
 Mwenyekiti
 wa chama cha mchezo wa Baiskeli Tanzania (CHABATA) Godfrey Mhagama 
akieleza sheria mbalimbali za mchezo huo kabla ya kuanza rasmi mbio 
hizo. 
 Asa
 Mwaipopo ,Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi ulio chini ya Kampuni ya 
Acacia ,akizungumza kabla ya kuanza kwa mashindano hayo yanayofanyika 
kwa mwaka wa tatu katika mji wa Kahama mkoani Shinyanga.Wengine kutoka 
kulia ni  
Meneja
 Uendelevu wa Mgodi wa kuchimba Dhahabu wa Buzwagi,George Mkanza,Mgeni 
rasmi katika mashindano hayo Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na 
Michezo,Anastazia Wambura na katikati ni Katibu wa Baraza la Michezo 
(BMT) .Said Kiganja. 
 Naibu
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Anastazia Wambura 
akivishwa kofia ngumu kabla ya kufungua Mashindano ya Mbio za Baiskeli 
ya Acacia Tufanikiwe Pamoja Cycle Challange 2016. 
Naibu
 Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Anastazia Wambura 
akiendesha baiskeli kuashiria kufunguliwa rasmi kwa mashindaano ya 
Acacia Tufanikiwe Pamoja  Cycle Challange 2016. 
Naibu
 Waziri wa Habari ,Utamaduni,Sanaa na Michezo ,Anastazia Wambura akiwa 
ameshika bendera ,tayari kuanzisha  mbio hizo,kulia ni Meneja Mkuu wa 
Mgodi wa Buzwagi,Asa Mwaipopo.
Washiriki wa Mashindano ya Mbio za Baiskeli za Acacia Tufanikiwe Pamoja Cycle Challange 2016 wakianza mbio hizo. 
Washiriki wa Mbio hizo wakipita katika eneo la Kagongwa Kahama. 
Washiriki wa Mbio za Baiskeli za Acacia Tufanikiwe Pamoja wakiendelea kuchuana . 
Baadhi
 ya wananchi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Kahama na Vitongoji 
vyake  wakiwa barabarani kushuhudia mbio za Baiskeli za Acacia 
Tufanikiwe Paomja Cycle 2016.
 Mmoja wa waendesha Baiskeli akipewa maji na mmoja wa makamisaa wa mchezo huo Aman Vicent wakati  mashindano hayo yakiendelea.
 


 
 
 
  
  
 

 
  
 
 
  
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni