MAKAMU WA RAIS KATIKA SALA YA IJUMAA DODOMA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya Sala Ijumaa katika
Msikiti Mkuu wa GADAFFI Mkoani Dodoma Leo Mei 6,2016. (Picha na OMR)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni