HABARI FUPIFUPI KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Katika hatua
nyingine Waziri Mkuu amesema kuwa ni kosa kwa wanunuzi wa mazao ya
wakulima kununua mazao kwa vipimo visivyo halali ambavyo
havikuidhinishwa na Wakala wa Vipimo nchini.
Amewaagiza
viongoizi wote wa Halmashauri,Wilaya na Mikoa yote nchini kuhakikisha
wakulima hawanyonywi kupitia wananunuzi mazao kuliko vipimo halisi kama
vile Lumbesa.
Mhe.
Majaliwa amewaagiza Kamati za Ulinzi na Usalama katika za mikoa na
wilaya kusimamia zoezi hili ili mkulima alipe kwa vipimo halali ambavyo
ni kilo au gunia liloshonwa kiwanda na sio lile liloongezewa
kichuguu(lumbesa).
ELIMU YAONGEZA IDADI YA WATOTO WANAOINGIA LA KWANZA
Kuhusu suala
la elimu bure, Waziri Mkuu amesema kuwa lengo ilikuwa na lengo la
kumpunzia mzazi mzigo wa ada ya shule za Msingi na Sekondari.
Mhe. Majaliwa alisema kuwa ada hizo zilikuwa ni kati ya shilingi elfu 20 na elfu 70.
Amesema kuwa sehemu imebebwa na Serikali ni pamoja na maji,ulinzi,umeme na gharama za mitani mbalimbali.
Aidha, Mhe.
Majaliwa alisema kuwa baada ya mpango huo wa elimu bure kumekuwepo na
ongezeko kubwa na watoto waliondikishwa kujiunga darasa la kwanza mwaka
huo na hivyo kusababisha changamoto ya upungufu wa madawati na
madarasa.
Alisema kuwa
Serikali inaendelea kuzifanyia changamoto hizo na kutoa wito wadau
mbalimbali kuungano mkono juhudi hizo za Serikali.
mwisho
WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU LUMBESA
Katika hatua nyingine Waziri Mkuu
amesema kuwa ni kosa kwa wanunuzi wa mazao ya wakulima kununua mazao kwa
vipimo visivyo halali ambavyo havikuidhinishwa na Wakala wa Vipimo
nchini.
Amewaagiza viongoizi wote wa
Halmashauri,Wilaya na Mikoa yote nchini kuhakikisha wakulima
hawanyonywi kupitia wananunuzi mazao kuliko vipimo halisi kama vile
Lumbesa.
Mhe. Majaliwa amewaagiza Kamati za
Ulinzi na Usalama katika za mikoa na wilaya kusimamia zoezi hili ili
mkulima alipe kwa vipimo halali ambavyo ni kilo au gunia liloshonwa
kiwanda na sio lile liloongezewa kichuguu(lumbesa).
ELIMU YAONGEZA IDADI YA WATOTO WANAOINGIA LA KWANZA
Kuhusu suala la elimu bure, Waziri Mkuu
amesema kuwa lengo ilikuwa na lengo la kumpunzia mzazi mzigo wa ada ya
shule za Msingi na Sekondari.
Mhe. Majaliwa alisema kuwa ada hizo zilikuwa ni kati ya shilingi elfu 20 na elfu 70.
Amesema kuwa sehemu imebebwa na Serikali ni pamoja na maji,ulinzi,umeme na gharama za mitani mbalimbali.
Aidha, Mhe. Majaliwa alisema kuwa baada
ya mpango huo wa elimu bure kumekuwepo na ongezeko kubwa na watoto
waliondikishwa kujiunga darasa la kwanza mwaka huo na hivyo kusababisha
changamoto ya upungufu wa madawati na madarasa.
Alisema kuwa Serikali inaendelea
kuzifanyia changamoto hizo na kutoa wito wadau mbalimbali kuungano mkono
juhudi hizo za Serikali.
mwisho
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni