RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU NA JAJI MKUU IKULU
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyefika Ikulu kwa ajili ya
 mazungumzo na Rais Dkt. Magufuli.PICHA NA IKULU
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia 
jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kumaliza mazungumzo 
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana 
na  Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman mara baada ya kumaliza 
mazungumzo yao  Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
 na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman Ikulu jijini Dar es 
Salaam.
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni