RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
 na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es
 Salaam.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia 
jambo wakati akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya 
Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa 
pamoja na  Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete wakifurahia 
jambo mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

Picha na IKULU
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni