Vijana nchini watakiwa kuwa makini katika kupambana na Ukimwi.
Mkurugenzi
 Idara ya maendeleo ya vijana, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Vijana na 
Ajira, James Kajugusi akifunga rasmi mkutano wa mkutano wa kitaifa wa 
mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
Afisa
 Uraghibishi na Habari wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania, akisoma 
tamko kwa niaba ya vijana, wakati wa kufunga mkutano wa kitaifa wa 
mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
Wadau
 wa shughuli za UKIMWI kwa vijana, wakiwa kwenye mkutano wa kitaifa wa 
mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana May, 2016.
Baadhi
 ya waratibu wa afya za UKIMWI nchini, wakifuatilia mada wakati wa 
kufunga mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa 
vijana May, 2016.
Mmoja
 kati ya washiriki wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI
 miongoni mwa vijana akikabidhiwa cheti cha ushiriki na mgeni rasmi 
James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo May, 2016.
Mmoja
 kati ya washiriki wa mkutano wa kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI
 miongoni mwa vijana Jaqueline Maeda akikabidhiwa cheti cha ushiriki na 
mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga rasmi mkutano huo May, 
2016.
Baadhi
 ya washiriki walio kabidhiwa vyeti vya ushiriki wakati wa mkutano wa 
kitaifa wa mwitikio wa kudhibiti UKIMWI miongoni mwa vijana, wakiwa 
kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi James Kajugusi wakati wa kufunga 
rasmi mkutano huo. May, 2016.
Picha kwa hisani ya TACAIDS
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni