Muonekano
wa Ofisi za ardhi katika Halmashauri ya jiji la Mbeya zikiwa katika
sura ya kupendeza ,nani ofisi nyeti sana katika halmashauri hiyo ,jambo
la kusikitisha ofisi hizo ukizitizama kwa muonekano wa mbele ni ofisi
nzuri sana lakini kwa muonekano wa nyuma ni aibu ,mazingira yake si
rafiki na huduma zitolewazo katika ofisi hizo-Swali wahusika wanalijua
hilo ua bajeti ya ukarabati haipo sawa sawa.Picha Emanuel Madafa-Jamiimojablogu) |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni