Profesa Elisante Ole Gabriel akutana na baadhi ya wakongwe katika tasnia ya habari nchini
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante
Ole Gabriel akielezea jambo wakati wa kikao baina yake na wahabari
wakongwe kilichoofanyika katika ukumbi wa wizara leo jijini Dar es
Salaam. Kutoka kulia ni Mratibu wa Mfuko wa Hugo Van Lawick Ali
Chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika
vyombo yva RTD, Daily News na African Juornal, Charles Simpungwe na
Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa
Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante
Ole Gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini historia kuhusu sekta ya
habari nchini kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van Lawick
ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie Mbunga
(katikati) wakati wa kikao baina yake na wahabari hao leo jijini Dar es
Salaam. Kulia ni mwandishi mkongwe Charles Simpungwe.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante
Ole Gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini historia ya sekta ya habari
nchini kutoka kwa mwandishi mkongwe mzeeCharles Simpungwe (kulia) leo
jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Mfuko wa Hugo Van
Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari -Maelezo, Willie
Mbunga.Mfuko wa huo unajihusisha na utoaji wa Tuzo kwa wapiga Picha
mahiri.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante
Ole Gabriel (kushoto) akisikiliza kwa makini maelezo kuhusu sekta ya
habari kutoka kwa Mratibu wa Mfuko wa Hugo Van Lawick Van Lawick Ali
Chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika
vyombo yva RTD, Daily News na African Juornal, Charles Simpungwe (wapili
kulia) wakati wa kikao baina yake na wahabari hao leo jijini Dar es
Salaam. Kutoka kulia ni Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari
George Msonde,mwandishi mkongwe Charles Simpungwe na Katibu Mtendaji wa
Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari
-Maelezo, Willie Mbunga
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante
Ole Gabriel (wapili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na
wanahabari wakongwe mara baada ya kikao baina yao leo jijini Dar es
Salaam. Kutoka kulia ni Mratibu wa Mfuko wa Hugo Van Lawick Ali
Chimbyangu ambaye pia ni mwandishi mkongwe aliye fanya kazi katika
vyombo yva RTD, Daily News na African Juornal, , Katibu Mtendaji wa
Mfuko wa Hugo Van Lawick ambaye pia ni mstaafu wa Idara ya Habari
-Maelezo, Willie Mbunga na mwisho kushoto ni Charles Simpungwe
Picha na Frank Shija; WHUSM
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni