Makamu wa Rais wa Jamhuri ya uungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassanakizungumza na Mkurugenzi mkaazi wa Benki ya Dunia Madame Bella Bird baada ya uzinduzi wa ripoti yatoleo la nane 8kuhusu hali ya uchumi Tanzania uliofanyika leo tarehe 20/05/2016 kwenye hotel ya Hyatt Begency,jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye uzinduzi wa ripoti ya Toleo la nane 8 kuhusu hali ya Uchumi  Tanzania uliofanyika leo tarehe 20/5/2016 katika hotel ya Hyatt Regency, jijini Dar es salaam.
Baadhi
 ya washiriki wakimsikiliza Makamu wa Rais picha hayupo wakati  wa 
uznduzi wa ripoti ya toleo la nane 8 kuhusu hali ya uchumi wa Tanzania 
uliofanyika leo tarehe 20/05/2016 .kwenye hotel ya Hyatt Begency jijini 
Dar es salaam.[Picha na OMR]
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni