WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO ZANZIBAR AWASILISHA HOTUBA YA BAJET YA MWAKA 2016/2017
Waziri
wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk.Khalid Salum Mohammed akionesha mkoba
wenye Bajeti ya Serikali ya Zanzibar ya mwaka wa Fedha 2016/2017 wakati
alipokuwa akiingia Baraza la Wawakilishi kwa kuiwasilisha Bajeti hiyo.
Waziri wa Fedha na Mipango
Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 katika Ukumbi wa Baraza
la Wawakilishi Zanzibar.
Baadhi ya Mabalozi wadogo
wanaowakilishi nchi zao Zanzibar wakisikiliza Hotuba ya Waziri wa Fedha
na Mipango Zanzibar Dk.Khalid Salum Mohammed kuhusu mapendekezo ya
makadirio ya mapato na matumizi ya Serekali kwa mwaka wa Fedha
2016/2017.
Wajumbe wa Baraza la wawakilishi
wakifuatilia Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa
Fedha 2016/2017 wakati Waziri wa Fedha na Mipango Dk.Khalid Salum
alipokuwa akiwasilisha Hutuba hiyo. Picha na Makame Mshenga/Maelezo
Zanzibar. Picha na Makame Mshenga/Maelezo Zanzibar.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni