Ijumaa, 20 Mei 2016

RAIS WA ZANZIBAR MH.DK. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA

MIR1 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uingereza Mhe,Dkt.Asha Rose Migiro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo,[Picha na Ikulu.]
MIR2 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uingereza  Mhe,Dkt.Asha Rose Migiro alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo,[Picha na Ikulu.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni