Jumatano, 18 Mei 2016

SPIKA ALIPOKUTANA NA KAMISHINA MKUU WA SEKRETARIETI YA MAADILI JAJI KAGANDA

gai1  
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na  Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo  naye ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai1 
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na  Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipofanya mazungumzo  naye ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai2 
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai4 
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Simon Msanjila ofisini kwake Mjini Dodoma.
gai3 
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza  Kamishna Mkuu wa Sekretarieti ya Maadili, Jaji Salome Kaganda wakati alipozungumza naye ofisini kwake Mjini Dodoma.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni