RAIS WA ZANZIBAR AWASILI VISIWA VYA COMORO.
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Gavana wa Comoro Bw.Hassan Hamadi wakati alipowasili 
katika uwanja wa Ndege wa Comoro jana akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,katika sherehe za kuapishwa
 Rais mteule wa Muungano wa Comoro Kanali Azali  Assoumani,akiwa  na 
ujumbe aliofuatana nao akiwemo Mama Mwanamwema Shein,[Picha na 
Ikulu].25/05/2016.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro 
Mhe,Chabaka Chilumanga Fereji wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege 
wa Comoro jana akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 
Dkt.John Pombe Magufuli,katika  sherehe za kuapishwa Rais mteule wa 
Muungano wa Comoro Kanali Azali  Assoumani, akiwa  na ujumbe aliofuatana
 nao akiwemo Mama Mwanamwema  Shein,[Picha na Ikulu].25/05/2016.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein 
(katikatki) akifuatana na Gavana wa Comoro Bw.Hassan Hamadi (kulia) 
wakati alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Comoro jana akimuwakilisha 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,katika  
sherehe za kuapishwa Rais mteule wa Muungano wa Comoro Kanali Azali  
Assoumani,  akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo Mama Mwanamwema 
Shein,(kushoto) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Visiwa vya Comoro 
Dr.Ahamada El Badaoui Mohamed [Picha na Ikulu].25/05/2016.]
Rais
 wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein 
akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Muungano wa Comoro wakati  
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Comoro jana akimuwakilisha Rais wa
 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,katika sherehe 
za kuapishwa Rais mteule wa Muungano wa Comoro Kanali Azali  Assoumani, 
akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo Mama Mwanamwema Shein,[Picha na 
Ikulu].25/05/2016.]
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni