MAJALIWA AKUTANA UJUMBE WA CHUO KIKUU CHA AGHA KHAN
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha 
Khan, Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mai 19, 2016. Kutoka kushoto ni
  Al – Karim Haji, Firoz Rasul, Joel Lugallo na Amin Kurji. (Picha na 
ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri
 Mkuu, Kassim Majaliwa  na Waziri wa Elimu, Sayansi na Mafunzo ya 
Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (wapili kulia) wakiwa katika picha ya 
pamoja na viongozi wa Chuo Kikuu cha Agha Khan baada yamazungumzo yao 
 ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2016.  Wengine pichani 
kutoka  kushoto ni Al – Karim Haji , Firoz Rasul, Amin Kurjina Joel 
Lugallo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkluu)
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni